Uhamisho 18 Disemba 2023
Klabu ya crystal palace inapanga kumuendea Eddie nketiah katika dirisha la Januari ili kumsajili. Klabu ya Everton inapania kumsajili mshambulizi wa Marseille na timu ya taifa ya Senegal illman ndiaye.…

AFC Leopards wanapanga kuivamia Kakamega Homeboyz na kuwasajili wachezaji watatu, ambao ni Moses Shumah, Brian Eshihanda, na Faruk Shikalo katika dirisha la usajili la katikati mwa msimu,Kwa jumla, Ingwe wanatarajiwa…